Vietnam Airlines
Mandhari
Faili:Vietnam Airlines Logo.svg | ||||
| ||||
Kimeanzishwa | 1956 (as Vietnam Civil Aviation) | |||
---|---|---|---|---|
Vituo vikuu | ||||
Programu kwa wateja wa mara kwa mara | Golden Lotus Plus | |||
Member lounge | Golden Lotus Lounge | |||
Muungano | SkyTeam | |||
Subsidiaries |
| |||
Ndege zake | 71 | |||
Shabaha | 48 (20 domestic; 26 international; 2 seasonal) | |||
Nembo | Bringing Vietnamese Culture to the World | |||
Kampuni mama | Vietnam Airlines Corporation | |||
Makao makuu | Long Bien, Hanoi, Vietnam | |||
Watu wakuu | ||||
Tovuti | vietnamairlines.com |
Vietnam Airlines ni kampuni ya ndege ya taifa ya Vietnam yenye makao makuu jijini Hanoi. Kampuni hii ilianza kufanya kazi zake mwaka 1996 baada ya kuvunjika kwa Tong cong ty hang khong Vietnam kulikopelekea kuvunjika kwa "Hang hang khong Vietnam". Hivi sasa kampuni hii inatoa huduma barani Asia, Ulaya na Australia. Kampuni hii ina safari nyingi za ndege nje ya Asia kuliko kampuni yoyote barani Asia. Kampuni hii ilikuwa ikimilikiwa asilimia 100 na serikali ya Kenya mpaka mwaka 1996.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "Airline Membership". International Air Transport Association. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-01. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012.
- ↑ "Vietnam Airlines – Details and Fleet History". Planespotters.net. 19 Machi 2012. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012.
- ↑ Dong, Ha. "Second southern international airport has $8bln price tag", Thanhniennews.com, 20 Desemba 2006. Retrieved on 1 Mei 2012. Archived from the original on 2012-05-01.
- ↑ 4.0 4.1 Hitilafu ya kutaja: Invalid
<ref>
tag; no text was provided for refs namedAbout Us
- ↑ "Vietnam Airlines có chủ tịch mới", 24 Mei 2011. Retrieved on 15 Desemba 2011. (Vietnamese)
- ↑ 6.0 6.1 6.2 "Vietnam Airlines Board of Directors". Bloomberg Businessweek. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-05-01. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2012.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- (Kiingereza) Tovuti rasmi